face mask  - Image 1
1 / 5
Beauty

face mask

TZS 2,000

About this item

Face mask ya urembo mask ya uso Kusafisha ngozi kwa kuondoa uchafu, mafuta, na vumbi. Kutoa sumu (detox) na kusafisha vinyweleo. Kung’arisha na kulainisha ngozi. Kukaza ngozi na kupunguza chunusi au makunyanzi (aina hutofautiana). > Jinsi ya kutumia face mask ya urembo: - Safisha uso kwanza - Pakaa mask usoni - Acha kwa dakika 10–20 - Osha kwa maji safi Kumbuka kuchagua aina ya face mask kulingana na aina ya ngozi yako (kavu, ya mafuta, au mchanganyiko).

Questions & Answers (0)

Seller

J
JAMAICA COLLECTIONS

No reviews yet

Posta

View Seller Profile →