FOREVER BRIGHT TOOTHGEL  - Image 1
Personal Care

FOREVER BRIGHT TOOTHGEL

TZS 28,000

About this item

Ina bee propolis ambayo husaidia kupambana na bacteria wanaosababisha harufu mbaya kinywani. Ina aloe vera ambayo husaidia kutibu changamoto ya fizi,meno na pamoja na kuheel gum inflammation and bleeding. Haina Fluoride tofauti na dawa nyingine za meno hivyo kuifanya kuwa salama kwa matumizi. Ina flavour ya mint ambayo huifanya kuwa na radha nzuri. Hudumu kwa takribani miezi 5

Questions & Answers (0)

Seller

D
DEVOTHA FELIX

No reviews yet

Muhimbili University, Chole

View Seller Profile →