professional comb - Image 1
Beauty

professional comb

TZS 20,000

About this item

‼️Karibu ujipatie 2 in 1 gold ceramic proffessiona comb (Kitana cha umeme)Kwa Tshs 20,000 Tu. ✅Inatumika kwa curly, kinky/coily, natural, na weaving ili kuzifanya ziwe laini,straight au curly. Kazi zake kuu * Kunyoosha nywele (straightening) – hufanya nywele ziwe laini na straight * Kuchana na kupangilia nywele (detangling & styling) – unachana na unanyosha kwa wakati mmoja * Kupunguza frizz – hufanya nywele ziwe smooth na shiny * Kufanya styling haraka – inapata joto haraka na ni rahisi kutumia

Questions & Answers (0)

Seller

M
MONASCENTS COLLECTION

No reviews yet

UBUNGU- DSM

View Seller Profile →