Anatic Herbal Essence soap. - Image 1
1 / 2
Beauty

Anatic Herbal Essence soap.

TZS 10,000

About this item

Ni sabuni ya asili ya mimea inayofaa kwa Aina zote za ngozi ,hasa ngozi yenye mafuta. Inatoa faida sita ikiwa ni pamoja na; 1.kuua bacteria(Anti-bacteria) 2.Kurutubisha ngozi (unyevunyevu wa mda mrefu).Asali iliyomo inasaidia kudumisha mafuta ya asili na unyevu kwenye ngozi. 3.Ina harufu nzuri ya sandalwood 4.Husaidia kurekebisha ngozi iliyoharibika na kurudisha ulaini na unyumbufu,huamsha seli ya ngozi,kuzuia kuzeeka na inafaa kwa kila mtu.

Questions & Answers (0)

Seller

E
Edward Masule

No reviews yet

Chole-Masaki

View Seller Profile →