DOVE SHOWER GEL - Image 1
1 / 2
Beauty

DOVE SHOWER GEL

TZS 9,500

About this item

💎 Faida za Dove Shower Gel: • Inasafisha mwili kwa upole bila kukausha ngozi • Huongeza unyevu (deep moisture) hadi ndani ya ngozi • Huacha ngozi ikiwa laini kama lotion baada ya kuoga • Ina teknolojia ya MicroMoisture inayolinda ngozi isikauke  • Husaidia kurejesha unyevu wa asili wa ngozi  • Inafaa hata kwa ngozi nyeti (gentle & dermatologically tested)  • Harufu yake nzuri hudumu muda mrefu mwilini. 🧴 Jinsi ya kutumia: 1. Lowesha mwili wako vizuri 2. Weka kiasi kidogo kwenye sponge au mikono 3. Sugua mwili mzima taratibu hadi itoe povu 4. Suuza kwa maji safi 5. Furahia ngozi laini na yenye harufu nzuri bei 9.5k

Questions & Answers (0)

Seller

M
MONASCENTS COLLECTION

No reviews yet

UBUNGU- DSM

View Seller Profile →