BODY SCRUB  - Image 1
Beauty

BODY SCRUB

TZS 10,000

About this item

‼️ZIPO CHACHE‼️JIPATIE BODY & SCRUB SHOWER GEL 500 mls KWA 10000 TU✨ • Husafisha ngozi kwa undani na kuondoa uchafu • Ina scrub inayosaidia kuondoa dead skin kwa upole • Huacha ngozi laini, safi na yenye mng’ao wa asili • Husaidia kupunguza harufu mbaya ya mwili • Hufanya mwili ubaki fresh kwa muda mrefu • Inafaa kwa matumizi ya kila siku ~Chaguo sahihi kwa mtu anayejali usafi na afya ya ngozi

Questions & Answers (0)

Seller

M
MONASCENTS COLLECTION

No reviews yet

UBUNGU- DSM

View Seller Profile →