PAPAYA SHOWER GEL  - Image 1
Beauty

PAPAYA SHOWER GEL

TZS 12,000

About this item

‼️KARIBU UJIPATIE PAPAYA SHOWERGEL KWA 12000 TU. (500 mls)✨ KAZI YAKE • ✅Kusafisha ngozi kwa upole – huondoa uchafu na jasho bila kuharibu mafuta ya asili ya ngozi. • ✅Kulainisha na kuipa ngozi unyevunyevu – ina ¼ moisturizing cream ambayo husaidia kuzuia ngozi kukauka. • ✅Hufanya ngozi iwe laini na yenye afya – ngozi hubaki smooth hata baada ya kuoga. • ✅Huacha harufu safi na ya kudumu – harufu yake ni mild na ya kuvutia. • ✅Inasaidia kulinda skin barrier – tofauti na sabuni kali, husaidia kudumisha ulinzi wa ngozi.

Questions & Answers (0)

Seller

M
MONASCENTS COLLECTION

No reviews yet

UBUNGU- DSM

View Seller Profile →