
WAZO BORA LA UTUNZAJI MAZINGIRA
Deadline: March 17, 2026
About this opportunity
TAASISI YA UZALENDO NA VIJANA TANZANIA (TAUVITA) imeandaa program maalum ya shindano la “Wazo Bora” kwa vijana wote wa Kitanzania kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, ili kuwasilisha mawazo bunifu yatakayolenga kuuenzi Muungano wa Tanzania pamoja na kuhimiza utunzaji wa mazingira. 🌿🇹🇿 Hii ni fursa kwa vijana kuonyesha ubunifu wao na kuchangia mawazo yatakayosaidia kujenga taifa lenye umoja na mazingira salama kwa vizazi vijavyo. 👉 Wasilisha wazo lako sasa kupitia link iliyopo kwenye Bio hapo juu.
Official link:docs.google.com
9 views
Share
More Competitions

Bongo Brain Battle
Bongo Brain Battle (BBB) ni mashindano ya maswali ya maarifa ya jumla yanayowakutanisha watu katika timu ili kupima uelewa, kasi ya kufikiri, kumbukumbu na uwezo wa kushirikiana. (Bongo Brain Battle (BBB) is a fun, competitive general-knowledge quiz event that brings people together to test their knowledge, teamwork, speed and critical thinking.)

COSTECH
Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)
The Ministry of Education, Science and Technology (MoEST) through the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) is supporting Tanzanian innovators to develop their innovative products to reach a stage of proven products for commercialization. The support is provided by conducting the national innovation competition known as "Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)".