
TRA INNOVATION CHALLENGE
Deadline: July 30, 2026
About this opportunity
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakaribisha Watanzania wote kushiriki katika msimu wa pili wa mashindano ya mawazo bunifu yatakayosaidia kuboresha huduma na mifumo ya kodi nchini. 💡 Tuma wazo lako kupitia tovuti ya TRA kwenye kipengele cha Innovation kabla ya Julai 31, 2026. 🏆 Zawadi: • Mawazo 1,000 yatakayofika hatua ya tathmini yatapata TZS 100,000 kila moja • Mshindi wa kwanza atajishindia hadi TZS 50 Milioni • Washindi wengine watapata zawadi kuanzia TZS 10 Milioni hadi 30 Milioni Jumla ya washindi 1,020 watanufaika na mpango huu unaolenga kuibua ubunifu wa kuboresha mfumo wa kodi Tanzania
Official link:www.tra.go.tz
83 views
Share
More Competitions

Bongo Brain Battle
Bongo Brain Battle (BBB) ni mashindano ya maswali ya maarifa ya jumla yanayowakutanisha watu katika timu ili kupima uelewa, kasi ya kufikiri, kumbukumbu na uwezo wa kushirikiana. (Bongo Brain Battle (BBB) is a fun, competitive general-knowledge quiz event that brings people together to test their knowledge, teamwork, speed and critical thinking.)

COSTECH
Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)
The Ministry of Education, Science and Technology (MoEST) through the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) is supporting Tanzanian innovators to develop their innovative products to reach a stage of proven products for commercialization. The support is provided by conducting the national innovation competition known as "Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)".