
UNA WAZO LA BIASHARA? HII NAFASI NI YAKO!
Deadline: May 1, 2026
About this opportunity
Ufaulu Project Tanzania inakuletea shindano la mawazo ya biashara kwa vijana wabunifu na wajasiriamali chipukizi, kwa ushirikiano na CRDB Bank Plc. Washiriki watapata nafasi ya kushinda hadi TZS milioni 5, pamoja na msaada wa kukuza na kuendeleza biashara zao. Jinsi ya kushiriki: ✔ Andaa maelezo ya wazo lako (kurasa ≤ 2) ✔ Rekodi video fupi (≤ dakika 2) ukielezea wazo lako Usikose nafasi hii ya kubadilisha wazo lako kuwa biashara halisi 🚀
Official link:forms.gle
13 views
Share
More Competitions

Bongo Brain Battle
Bongo Brain Battle (BBB) ni mashindano ya maswali ya maarifa ya jumla yanayowakutanisha watu katika timu ili kupima uelewa, kasi ya kufikiri, kumbukumbu na uwezo wa kushirikiana. (Bongo Brain Battle (BBB) is a fun, competitive general-knowledge quiz event that brings people together to test their knowledge, teamwork, speed and critical thinking.)

COSTECH
Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)
The Ministry of Education, Science and Technology (MoEST) through the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) is supporting Tanzanian innovators to develop their innovative products to reach a stage of proven products for commercialization. The support is provided by conducting the national innovation competition known as "Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)".