← Back to Opportunities
Vijana Uchumi Challenge
Competitions FeaturedExpired

Vijana Uchumi Challenge

Deadline: April 29, 2026

About this opportunity

Wana Wanafikiri, Taifa Linasonga" Shindano la wazo bora bunifu la Vijana juu ya kulinda na kukuza Uchumi wa Taifa kutokana na Changamoto Za Kimataifa. Wasilisha kupitia QR Code iliyopo kwenye Tangazo au link iliyopo kwmeye Bio ya @orvijana Kabla ya Tarehe 30 April 2026. Vigezo: -Kijana Mtanzania, miaka 15 - 35. -Maneno yasizidi 300. -Video au Sauti isizidi Dakika 3. -Wazo liwe bunifu, endelevu, Mshindi: Mshindi wa 1 - Milioni 30 Mshindi wa 2 - Miloni 15 Mishindi wa 3 - Milioni 5 Mawasiliano: 0717026509 #VijanaUchumiChallenge #Tanzania

Official link:forms.edodoso.gov.go.tz

49 views

Share:WhatsAppTwitter/X

Share