
Tanzania Leadership Foundation inatafuta Volunteer Program Officer DODOMA
Deadline: June 15, 2026
About this opportunity
Je, una passion/Shauku ya uongozi, maendeleo ya vijana, na kufanya mabadiliko chanya kwenye jamii? Hii ni nafasi yako ya kuwa sehemu ya kizazi kinachojenga viongozi wa kesho! Tanzania Leadership Foundation inatafuta Volunteer Program Officer atakayesaidia kuratibu programu mbalimbali za maendeleo ya vijana, mafunzo ya uongozi, na shughuli za kijamii kutoka Makao Makuu yetu Dodoma. Hii siyo nafasi ya kujaza CV tu, bali ni fursa ya kujifunza, kukua, kujenga mtandao wa viongozi, na kuacha alama kwenye maisha ya maelfu ya vijana Tanzania. Kama una uwezo wa kufanya kazi na timu Una shauku ya kuongoza na kuhudumia jamii Unaamini vijana wanaweza kubadilisha taifa kupitia uongozi bora basi tunakuhitaji! Location: TLF Head Office - Dodoma Tuma CV na Cover Letter yako kupitia: info@tzleadershipfoundation.or.tz Deadline: 16th June 2026 Jiunge nasi katika safari ya kuibua, kuendeleza, na kuhamasisha kizazi cha viongozi watakaolibadilisha Taifa letu. Leadership starts with service
🔗 Official link:www.instagram.com
30 views