
VIJANA CAMPUS CONNECT
Deadline: May 19, 2026
About this opportunity
Vijana Platform Campus Connect sasa imefika Mzumbe University – Morogoro! Je, una wazo bunifu la biashara lenye impact chanya kwa jamii? Hii ni nafasi yako ya kushinda fedha za kuendeleza wazo lako, kupata mentorship, mafunzo pamoja na kuunganishwa na taasisi mbalimbali wezeshi. 📌 Usajili ni BURE kwa vijana wote wa Mkoa wa Morogoro.
Official link:forms.gle
33 views
Share
More Competitions

Bongo Brain Battle
Bongo Brain Battle (BBB) ni mashindano ya maswali ya maarifa ya jumla yanayowakutanisha watu katika timu ili kupima uelewa, kasi ya kufikiri, kumbukumbu na uwezo wa kushirikiana. (Bongo Brain Battle (BBB) is a fun, competitive general-knowledge quiz event that brings people together to test their knowledge, teamwork, speed and critical thinking.)

COSTECH
Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)
The Ministry of Education, Science and Technology (MoEST) through the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) is supporting Tanzanian innovators to develop their innovative products to reach a stage of proven products for commercialization. The support is provided by conducting the national innovation competition known as "Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)".