
BANK KIMPANGO WAKO CONTENT CREATORS CHALLENGE
Deadline: March 21, 2026
About this opportunity
Shinda Milioni 20 Kimpango Wako Ule mtanange wa kutafuta Content Creator atakayesepa na Milioni 20 umepamba moto. Pitia kwa umakini mpango mzima wa kushiriki, muda, vigezo na taarifa muhimu kwenye hii post yetu. Tuna bando la kutosha tunawazoom tu. Kila la heri maswahiba zetu. #benkikimpangowako...
Official link:www.instagram.com
15 views
Share
More Competitions

Bongo Brain Battle
Bongo Brain Battle (BBB) ni mashindano ya maswali ya maarifa ya jumla yanayowakutanisha watu katika timu ili kupima uelewa, kasi ya kufikiri, kumbukumbu na uwezo wa kushirikiana. (Bongo Brain Battle (BBB) is a fun, competitive general-knowledge quiz event that brings people together to test their knowledge, teamwork, speed and critical thinking.)

COSTECH
Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)
The Ministry of Education, Science and Technology (MoEST) through the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) is supporting Tanzanian innovators to develop their innovative products to reach a stage of proven products for commercialization. The support is provided by conducting the national innovation competition known as "Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU)".