← Back to Opportunities
TURKIYE SCHOLARSHIP
Scholarships⭐ FeaturedExpired

TURKIYE SCHOLARSHIP

Deadline: February 19, 2026

About this opportunity

Ubalozi wa Tanzania nchini Uturuki unatangaza fursa za ufadhili wa masomo ya Serikali ya Uturuki (Türkiye Scholarships) kwa mwaka 2026/2027 katika ngazi za Shahada ya Kwanza, Uzamili na Uzamivu. Ufadhili unajumuisha ada ya masomo, posho ya kila mwezi, bima ya afya, tiketi ya ndege, malazi, utafiti na mafunzo ya lugha.

🔗 Official link:turkiyeburslari.gov.tr

13 views

Share:WhatsAppTwitter/X

Share